Habari zilizotufikia muda mfupi ulipita zinaarifu kwa Said Arfi ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amejiuzulu rasmi nafasi yake jioni hii.
Arfi ambaye pia ni mbunge wa Mpanda mjini (CHADEMA) amefikia uamuzi huo
leo baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kuwavua uongozi Zitto Kabwe na Dr.
Kitila Mkumbo. Nafasi ya Zitto amepewa mchungaji Peter Msigwa.
Ifuatayo ni kauli ya
↧
Baada ya CHADEMA kumvua uongozi Zitto Kabwe, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara naye aamua kujiuzulu
↧