Mwanamziki aliyepata kutamba na Bendi ya FM
Academia ya jijini Dar es Salaam, Rapa, Haristot Shungu ameuawa nchini
China huku kifo chake kikitawaliwa na utata mkubwa.
Kwa mujibu wa chanzo makini kilichopo nchini China, rapa huyo
alikamatwa uwanja wa ndege baada ya kugundulika kuwa amebeba madawa ya
kulevya akiwa ameambatana na rapa mwingine wa Bendi ya Akudo Impact,
Kanal Top na
↧