MAJERUHI Francis Shumira aliyejeruhiwa
katika tukio la kushambuliwa kwa risasi Ilala Dar es salaam juzi amefariki dunia jana asubuhi Hospitali ya Muhimbili alikolazwa MOI kwa
matibabu.
Kufariki kwa Francis kunafanya idadi ya watu watatu waliofariki katika tukio
hilo hadi hivi sasa huku ikiacha majeruhi wawili ambao ni Christina Alfred
Newa Mwanafunzi wa masuala ya Mawasiliano
↧