Mtoto anayedaiwa kufufuka anena kwa mara ya kwanza
Ni hivi karibuni, Mji wa Geita na maeneo jirani ulikubwa na taharuki ya aina yake,pale mtoto Shabani Maulid (15) anaedaiwa kwamba alifariki dunia miaka miaka mitatu iliyopita, alipoonekana akiwa hai...
View ArticleAfande Sele ajiunga rasimi CHADEMA
Mwanamziki mkongwe wa Hip hop na Bongo Fleva, ambaye pia ni mfalme wa Rymes, Selemani Msindi (Afande Sele), jana amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya kukabidhiwa...
View ArticleKenya yalaani umoja wa Mataifa ( UN ) uliotupilia mbali ombi la Umoja wa...
Serikali ya Kenya imelaani uamuzi uliotolewa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) wa kutupilia mbali ombi la Umoja wa Afrika (AU) kutaka kesi zinazowakabili viongozi wakuu wa nchi hiyo...
View ArticleProfesa Juma Kapuya azidi kubanwa.... Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP...
SAKATA la Mbunge wa Urambo Magharibi, Prof. Juma Kapuya (CCM) kudaiwa kumbaka mwanafunzi na kumtishia kumuua, linazidi kuchukua sura mpya ambapo Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Said Mwema na...
View ArticleBinti avua nguo na kuyaanika matiti nje baada ya kuzidisha pombe
Mrembo wa haja ambaye jina halikupatikana mara moja, amenaswa akiwa matiti nje baada ya kulewa mchana kweupe na kulizwa mkoba wake kisha kuzua varangati zito, Varangati hilo lililonaswa na kachero...
View ArticleSerikali yafanikiwa kuivunja kambi ya mafunzo ya Al Shabaab mkoani...
Polisi wa Tanzania walivunja zoezi la mafunzo ya al-Shabaab katika mkoa wa Tanga, kuwakamata washukiwa 69 na kuwaachia huru dazani za wafundishwaji wakiwa na umri wa miaka kati ya 4 hadi 13 katika...
View ArticleIrene Uoya ajichora tatoo katika kiuno na makalio yake.
Muigizaji wa kike maarufu wa jina la Irene Uwoya ametoa kali ya mwaka baada ya kujichora tatoo makalioni na kiunoni na kisha kujipiga picha na kuitupia mtandaoni..... Kupitia...
View ArticleHizi ndo sababu zilizomfanya Aden Rage atimuliwe uenyekiti wa klabu ya Simba
Kamati ya utendaji ya klabu ya Simba iliyokutana jana usiku imempiga stop Ismail Aden Rage kuendelea na ubosi katika klabu ya Simba na kulibadilisha benchi la ufundi isipokuwa nafasi ya meneja...
View ArticleUndani wa mauaji yaliyofanyika jana jijini Dar....Chanzo chake hakina tofauti...
Mfanyabiashara wa magari, Gabriel Munisi (35), jana alijiua baada ya kumuua mtu mmoja na kujeruhi wengine watatu jijini Dar es Salaam katika tukio linalohusishwa na wivu wa mapenzi. Munisi, ambaye...
View ArticleMchungaji wa kanisa la Pentekoste awabaka wanafunzi wawili na kuwaambukiza...
Wanafunzi waliobakwa kwa zamu Baadhi ya walimu wa shule ya Msingi Maendeleo wakizungumza kwa hisia tukio hilo la ubakaji lililofanywa na Mchungaji Kanisa linaloendeshwa na Mchungaji Bryson Mwaikambo...
View ArticleKamati kuu ya CHADEMA inatarajiwa kukutana leo ili kujadili misukosuko...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo inaanza kikao chake cha siku mbili ikitarajiwa kujadili masuala mazito, hasa misukosuko iliyokikumba katika siku za karibuni. Taarifa...
View ArticleTishio jingine kubwa la Ugaidi nchini Kenya....Marekani yatoa angalizo kwa...
SIKU chache baada ya kikundi cha Al Shabaab kudaiwa kuteka Jengo la Westgate nchini Kenya na kuua watu kadhaa na wengine kujeruhiwa wasiwasi wa magaidi kulipua tena nchi hiyo umetanda. Tayari...
View ArticleKajala Masanja kuhukumiwa upya Novemba 25
Msanii wa filamu Kajala Masanja atahukumiwa upya Novemba 25 mwaka huu baada ya mumewe kukata rufaa. Kesi iliyokuwa ikiwakabili wanandoa hao ilihusiana na utakatishaji wa fedha haramu uliofanywa na...
View ArticleKanye West na Kim Kardashian wajiachia Uchi katika video yao mpya ya Bound 2
Kanye West ametoa video yake ya Bound 2 kwa mara ya kwanza alivyoenda kwenye show ya Ellen ambapo video model wa video hiyo ni Kim Kardashian na kama unakumbuka zilitoka story kwamba Kim amefanya...
View ArticleAibu: Mabinti wa chuo wajirekodi wakiwa bila nguo ndani ya hosteli yao, video...
Mabinti wawili ambao ni wanafunzi wa chuo kikuu (???) wamenaswa live wakicheza nusu uchi ndani ya chumba chao cha hosteli huku wakiwa wametegesha visimu vyao kwa ajili ya...
View ArticleKaka wa P-Square, Jude Okoye adaiwa kuisusia harusi ya Peter na Lola, ndugu...
Jumapili ya November 17, 2013, jiji la Lagos, Nigeria lilishuhudia harusi kubwa ya kitamaduni kati ya muimbaji wa kundi la P-Square, Peter Okoye na mchumba wake Lola Omotayo, lakini cha ajabu, kaka...
View ArticleKashfa ya kufanya mapenzi na watoto wadogo yaendelea kuwatafuna wabunge...
WABUNGE wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rosesweeter Kasikila na Profesa Juma Kapuya, wameingia katika kashfa mbaya ya kimapenzi inayoweka hatma yao kisiasa shakani. Kashfa za wabunge hao wa CCM...
View ArticleHatima ya Babu Seya na Papii Kocha ni LEO ambapo Mahakama itatoa uamuzi wa...
MAHAKAMA ya Rufani leo inatarajia kutoa uamuzi wa ama kulikubali au kulikataa ombi la marejeo lililowasilishwa na mwanamuziki wa dansi nchini, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanae, Papi Kocha ‘Mtoto wa...
View ArticleJeshi la polisi lawaonya wananchi dhidi ya matumzi mabaya ya Silaha....
JESHI la Polisi nchini limetoa onyo kali kwa watu wanaotumia vibaya silaha walizomilikishwa. Onyo hilo lilitolewa jana na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP), Advera...
View ArticleMajeruhi Francis Shumira aliyepigwa risasi juzi na Gabriel Munis ili kulipiza...
MAJERUHI Francis Shumira aliyejeruhiwa katika tukio la kushambuliwa kwa risasi Ilala Dar es salaam juzi amefariki dunia jana asubuhi Hospitali ya Muhimbili alikolazwa MOI kwa matibabu. Kufariki kwa...
View Article