Kamati ya utendaji
ya klabu ya Simba iliyokutana jana usiku imempiga stop Ismail Aden Rage
kuendelea na ubosi katika klabu ya Simba na kulibadilisha benchi la
ufundi isipokuwa nafasi ya meneja Madaktari wa timu .
Akizungumza
kwa niaba ya kamati ya utendaji, mjumbe wa kamati ya utendaji Joseph
Itangare amesema wamemsimamisha mwenyekiti kutokana na kufanya maamuzi
yake binafsi
↧