Jumapili ya November 17, 2013, jiji la Lagos, Nigeria lilishuhudia
harusi kubwa ya kitamaduni kati ya muimbaji wa kundi la P-Square, Peter
Okoye na mchumba wake Lola Omotayo, lakini cha ajabu, kaka yake mkubwa,
Jude Okoye hakuwepo.
Msemaji wa kundi hilo Bayo Adetu alisema Jude hakuwepo kwenye harusi kwakuwa alikwama nchini Ghana.
Jude Okoye
P-Square walikuwa
↧