WABUNGE wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rosesweeter Kasikila na
Profesa Juma Kapuya, wameingia katika kashfa mbaya ya kimapenzi
inayoweka hatma yao kisiasa shakani.
Kashfa za wabunge hao wa CCM zinatokana na hatua yao ya kujiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa nguvu na vijana wadogo.
Rosesweeter ambaye ana umri wa miaka 60, yuko katika kashfa ya
kufunga ndoa na
↧