MAHAKAMA ya Rufani leo inatarajia kutoa uamuzi wa ama kulikubali au
kulikataa ombi la marejeo lililowasilishwa na mwanamuziki wa dansi
nchini, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanae, Papi Kocha ‘Mtoto wa
Mfalme’, ambao waliomba mahakama hiyo ifanyie marejeo hukumu ya kifungo
cha maisha iliyoitoa Februari 2010, kwa kuwa ina dosari za kisheria na
kuwaachia huru.Kwa mujibu wa hati ya wito wa
↧