AGNESS MASOGANGE AACHIWA HURU BAADA YA KULIPA FAINI YA SH. MILIONI 4
Mtanzania Agnes Gerald, maarufu Masogange, ameachiwa huru na Mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg, baada ya kulipa faini ya R30,000 (Sh4.8 milioni) kwa kosa la kubeba kemikali zinazotumika...
View ArticleNguvu ya Umma na Vurugu za CHADEMA zashindwa kumuokoa mbunge wake aliyetupwa...
UTARATIBU wa Chadema kutumia kinachoitwa ‘nguvu ya umma na vurugu’ kushinikiza sheria ipindishwe kwa maslahi yake, umekwama kumnusuru Mbunge wa Ukerewe, Salvatory Machemli anayetumikia adhabu ya kukaa...
View ArticleMwili wa Dk Mvungi utawasili nchini leo saa 12. 50 jioni
Mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi utawasili nchini leo 12.50 jioni kwa ndege ya Shirika la Ndege Afrika Kusini (Saa) ukitokea Afrika Kusini. Msemaji wa...
View ArticleFundi magari mkoani Iringa ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la...
FUNDI magari mkazi wa kijiweni katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Bw Abdul Husein (31) amejikuta akitupwa jela mwaka mmoja na faini ya shilingi 200,000 baada kutiwa hatiani na...
View Article"Huddah ni ‘mali ya serikali’, amelala na karibu dunia nzima....Mwanaume gani...
Baada ya kupondwa na Huddah Monroe kuwa amefulia, mfalme wa bling, Rapcellency Prezzo ameamua kujibu mashambulizi na kusema uhusiano wake na Huddah ulikuwa wa kufanya mapenzi tu, basi. Kwenye interview...
View ArticleJack Wolper , Snura na Aunt Ezekiel wauteka mtaa baada ya kujiunga na kundi...
Mastaa wa filamu za Kibongo wenye jina kubwa mjini, Aunt Ezekiel, Jacgueline Wolper na Snura Mushi hivi karibuni walitisha kwa kufunga mtaa kutokana na mauno waliyokuwa wakikata mbele za wapiga ngoma...
View ArticleSK Boys watukanwa na mashabiki kwa kutumia vibaya melody na beat ya single ya...
Ni video ya wimbo ambao wametumia melody na beat ya single ya P Square ‘Personally’ na kuiweka October 26 2013, watu wengi waliyoiona hasa ukitazama mitandao ya kijamii kama facebook na twitter,...
View ArticleJe, wewe ni mwanamke na unatafuta mwanaume msomi wa kukuoa??... Unapenda...
Habari yako Mpekuzi Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 30.Elimu yangu ni chuo kikuu. Sina mke wala mtoto. Makazi yangu ni Dar na ni mwajiriwa wa kampuni flan...
View ArticleSiri yafichuka...Diamond na Penny wadaiwa kuwa ni mtu na dada yake....Penny...
Mwanzoni mwa wiki hii, taarifa za kuumiza masikio zilimfikia mwanadada Peniel Mwingilwa "Penny" na kujikuta akimwaga machozi baada ya kutaarifiwa na mzee wa ukoo wake kuwa yeye...
View ArticleRatiba ya shughuli nzima ya kuuaga mwili wa Dr. Sengondo Mvungi hapo Kesho
Dr. Sengongo Mvungi enzi za uhai wake
View ArticleKufuatia kashfa ya kubaka na kumwambukiza UKIMWI mwanafunzi wa sekondari:...
Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na Kituo cha Msaada wa Kisheria (LHRC), kimelaani viongozi wanaotumia madaraka yao, nafasi zao na...
View ArticleVideo mpya kutoka kwa Jose Chameleone “Tubonge”...Ni bonge la video
Ni kawaida yake....Huwa habahatishi.... Bofya hapo chini ujipakulie
View ArticleTattoo na muonekano mpya wa Ray, vyawachefua mashabiki wake....wengi wasema...
Huu ni muonekano mpya wa Vicent Kigosi ambao ni moja ya maandalizi ya movie yake mpya ... Ni muonekano ambao kwa kiasi flani umewachefua mashabiki wake ambao dakika chache baada ya...
View ArticleDr. Slaa na viongozi wengine wa CHADEMA waukana waraka uliosambaa kumhusu...
Maneno haya yametoka kwenye ukurasa wa facebook wa mbunge Zitto Kabwe na yamesemwa na viongozi wa Chadema kama Dr Wilbroad Slaa,Edwin Mtei na Mabere Marando kuhusu waraka uliosambaa kumhusu Zitto...
View ArticleMwili wa Dr. Sengondo Mvungi wawasili nchini Tanzania ....Ifiatayo ni ratiba...
Mwili wa Marehemu Dk. Sengondo Mvungi ukifanyiwa maombi mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Wanachama wa NCCR-Mageuzi wakiwa wamelibeba sanduku...
View ArticleIrene Uwoya hana UKIMWI...Haya ni majibu ya vipimo vya ngoma aliyoyatundika...
Irene Uwoya hana UKIMWI..... Hii si kauli yangu...Ni kauli ya Mama Krish "Irene Uwoya" ambayo imewekwa katika ukurasa wake wa Instagram ikiambatana na cheti cha maabara...
View ArticleProfesa Juma Kapuya ajikoroga....Amkana mwanafunzi anayedaiwa kumbaka, asema...
SIKU chache baada ya Waziri wa zamani na Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM) kutuhumiwa kumbaka na kutishia kumuua binti mdogo wa miaka 16, kiongozi huyo ameibuka na kutoa utetezi wa...
View ArticleUmeme kuadimika kwa siku 11 nchini.... Na hii ndo mikoa itakayokumbwa na...
WATEJA katika mikoa inayopata umeme kwenye gridi ya Taifa wanatarajiwa kupata adha ya upungufu wa umeme kwa siku 11 kuanzia leo, kutokana na upungufu wa gesi kutoka katika Kisiwa cha Songosongo...
View ArticleMakamu wa Rais Dr. Bilal awaoongoza wananchi kuuaga mwili wa Dr. Sengondo...
Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt.Sengondo Mvungi, likiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo kwa ajili ya kuagwa Jeneza likipelekwa sehemu iliyoandaliwa Mashada ya maua na...
View ArticleMwanamke akatwa mguu na mumewe na kutelekezwa bila msaada wowote.
Hali ya wanawake inazidi kuwa mbaya ndani ya nchi yao TANZANIA inayosifiwa kuwa ni Kisiwa cha Amani ... Tukio hili lilitokea mapema mwezi wa nane mwaka huu Kijiji cha Nyantira Tarime Mara. Katika...
View Article