Ni video ya wimbo ambao wametumia melody na beat ya single ya P
Square ‘Personally’ na kuiweka October 26 2013, watu wengi waliyoiona
hasa ukitazama mitandao ya kijamii kama facebook na twitter, maoni mengi
yameiponda hii video na wimbo wenyewe ambao waamini umevuka maadili ya
Kiafrika na kisanii pia wamevuka mipaka.
Sehemu ya waliotoa maoni wanalalamikia udhalilishwaji wa Wanawake
↧