Mastaa wa filamu za Kibongo wenye jina kubwa mjini, Aunt Ezekiel,
Jacgueline Wolper na Snura Mushi hivi karibuni walitisha kwa kufunga
mtaa kutokana na mauno waliyokuwa wakikata mbele za wapiga ngoma wa
Kundi la Baikoko, tukio lililojiri Mwananyamala, Dar nyumbani kwa msanii
mwenzao Vanitha Omary.
Wasanii hao waliwashangaza watu jinsi walivyokuwa wakijituma kukata
mauno huku Wolper
↧