UTARATIBU wa Chadema kutumia kinachoitwa ‘nguvu ya umma na vurugu’ kushinikiza sheria ipindishwe kwa maslahi yake, umekwama kumnusuru Mbunge wa Ukerewe, Salvatory Machemli anayetumikia adhabu ya kukaa jela kwa siku 14.
Jana Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chadema, Sylvester Masinde, alikiri kuwa nguvu ya umma iliyodaiwa kutumika kumnusuru Machemli, ni upotoshaji na hali ilivyokuwa,
↧