Mwanzoni mwa wiki hii, taarifa za kuumiza masikio zilimfikia mwanadada Peniel Mwingilwa "Penny" na kujikuta akimwaga machozi baada ya kutaarifiwa na mzee wa ukoo wake kuwa yeye na mpenzi wake Diamond ni ndugu wa damu...
Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu na familia ya Penny zimeeleza kuwa tukio hilo limezua sintofahamu kubwa kati ya
↧