Irene Uwoya hana UKIMWI.....
Hii si kauli yangu...Ni kauli ya Mama Krish "Irene Uwoya" ambayo imewekwa katika ukurasa wake wa Instagram ikiambatana na cheti cha maabara kinachoonesha kwamba yeye ni mzima wa afya( hana ngoma )...
Pamoja na ambatanisho hilo, Uwoya amewataka watanzania kujiwekea mazoea ya kupima UKIMWI ili kujua afya zao
↧