Mwili wa Marehemu Dk. Sengondo Mvungi ukifanyiwa maombi mara
baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
leo.
Wanachama wa NCCR-Mageuzi wakiwa wamelibeba sanduku
lililohifandhi mwili wa kiongozi huyo wa NCCR-Mageuzi na Mjumbe wa Tume
ya Mabadiliko ya Katiba Mpya.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akiwa uwanjani
↧