Maneno haya yametoka kwenye ukurasa wa facebook wa mbunge Zitto
Kabwe na yamesemwa na viongozi wa Chadema kama Dr Wilbroad Slaa,Edwin
Mtei na Mabere Marando kuhusu waraka uliosambaa kumhusu Zitto Kabwe.
Hii ni Post ya Zitto Kabwe aliyoiweka facebook
Dr. Willbrod Slaa : ” Hatuna tatizo hata kidogo na Zitto Kabwe. Huyu
ni Naibu Katibu Mkuu wetu kama kuna tatizo jambo
↧