Chama
cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), kwa kushirikiana na Mtandao
wa Jinsia Tanzania (TGNP) na Kituo cha Msaada wa Kisheria (LHRC),
kimelaani viongozi wanaotumia madaraka yao, nafasi zao na nguvu zao
kisiasa kuwadhalilisha watoto wa kike.
Mashirika hayo yanayotetea haki za wanawake na watoto, yamesema
yamesikitishwa na habari zilizozoripotiwa kwenye baadhi ya vyombo vya
↧