RIPOTI: Ugomvi wa miaka 20 iliyopita wa kanisa la EAGT na TAG waibuka upya...
Kanisa la Evangelistic Assemblies of God (EAGT) linatarajia kuuanza mwezi ujao kwa machungu mapya kabisa huku yale ya kuaga dunia kwa aliyekua Askofu wake mkuu Askofu Moses Kulola yakiwa...
View ArticleWanasayansi wadai kwamba MWISHO WA DUNIA utafika baada ya miaka bilioni 3.5...
Mwisho wa dunia kwa mujibu wa wanasayansi bado sana. Maisha duniani yataendelea kuwepo kwa miaka bilioni 3.5 mingine. Baada ya hapo wanasayansi wanaamini jua litakuwa kali kiasi ambacho hakuna kiumbe...
View ArticleHawa ndo washindi wetu watatu waliojishindia VOCHA za buku buku kila mmoja
Leo asubuhi tulitoa swali moja la kawaida kwa wasomaji wetu na kuahidi kutoa zawadi ya vocha ya sh. 1000 kwa mshindi mmoja wa kwanza.... Swali hilo liliambatanishwa na picha...
View ArticleHAKIMU ACHOMWA KISU MAHAKAMANI WAKATI AKITOA HUKUMU HUKO SHINYANGA
Hakimu wa mahakama ya Mwanzo mjini Shinyanga Mheshimwa Nyanguoa Masaba amejeruhiwa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali akiwa Mahakani akitoa hukumu. Tukio hilo limetokea leo katika mahakama ya...
View ArticleMaandamano ya CHADEMA, CUF na NCCR MAGEUZI yapigwa marufuku siku ya jumamosi
Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam limepiga marufuku maandamano ya umoja wa vyama vya CUF, NCCR na CHADEMA siku ya Jumamosi yaliyokuwa yamepangwa kuanzia Tazara hadi Jangwani na Mwenge hadi Jangwani...
View ArticleMWALIMU MKUU AKUTWA NA BANGI SHULENI.....
MWALIMU Mkuu wa Shule ya Msingi Mukubu, Wilaya ya Ngara mkoani Kagera, Silidion Kaiza (43), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukutwa na bangi gunia sita. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
View ArticlePICHA ZA UCHI ZA FLORAH LYMO ALIYEDAI KABAKWA NA GODBLESS LEMA ZAVUJA
Huyu ni Flora Bahati Lyimo ambaye aliwahi kutikisa media za Tanzania kwa kudai kwamba alibakwa na mbunge Godbless Lema wa Arusha.... Katika maelezo yake ambayo aliyatoa katika...
View ArticlePicha za Agness Masogange akiwa huru mtaani baada ya kuachiwa kwa DHAMANA
Watanzania Agness Masogange na Melisa Edward waliokamatwa kwa kutuhumiwa kubeba dawa za kulevya huko Afrika Kusini wameachiwa kwa dhamana. Mkuu wa Kitengo cha Dawa za Kulevya Afrika Kusini, Kamishna...
View ArticleMke wa mtu afumaniwa akisaliti ndoa yake na mwanaume mwingine.
Kijana anayedaiwa kuwa muumini wa kanisa la kilokole (jina tunalo) la jijini Dar, Faraji Oti amekutwa na mazito akidaiwa kufumaniwa na mke wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Jesca. MANZESE,...
View ArticleCCM yatoa miezi 6 kwa waziri wa Elimu kujiuzulu....Vinginevyo itamtimua kwa...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa kujiuzulu kwa kushindwa kulipa madeni ya walimu nchini. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana pia...
View ArticleWAPINZANI WAMCHANA RAIS KIKWETE......WADAI AKIENDEKEZA KEJELI DAMU ITAMWAGIKA
SIKU moja, baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema anashangazwa na uongo wa baadhi ya wanasiasa kumtuhumu juu ya mambo mbalimbali kuhusu mchakato wa Katiba Mpya, viongozi wa vyama vitatu vya upinzani...
View ArticleTahadhari toka JWTZ kuhusu uvumi wa "AJIRA ZA WATAALAMU JESHINI"
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kuwataarifu Wananchi wote kuwa taarifa zilizoenea kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno kupitia simu za mkononi (sms) na mitandao mbalimbali ya...
View ArticleBAADA YA TAIFA STARS KUBORONGA - KOCHA KIM POULSEN APIME UZITO WA KIBARUA...
MAKOCHA wa kigeni wanaoajiriwa kuzinoa timu za soka za taifa Tanzania – Taifa Stars, Kilimanjaro Stars, Ngorongoro Heroes na Serengeti Boys – wana bahati. Matokeo mabaya uwanjani huwa hayana athari...
View ArticleCHADEMA, CUF na NCCR MAGEUZI wasitisha MAANDAMANO yaliyopangwa kufanyika kesho
Vyama vitatu vya Upinzani vinavyounda Umoja wa vyama vya Upinzani nchini vilivyopanga kufanya maandamano ya amani kupinga baadhi ya vipengele vilivypopo kwenye rasimu ya katiba vimeridhia kuahirisha...
View ArticleTaarifa mbali mbali toka shirikisho la soka nchini ( TFF ) leo
Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inaingia raundi yake ya tano kesho (Septemba 21 mwaka huu) kwa mechi huku vinara Simba wakiwakaribisha Mbeya City kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Uwanja wa Mkwakwani,...
View ArticleVideo ya JANUARY MAKAMBA akiongelea msimamo wake wa kugombea URAIS mwaka 2015...
Mahojiano haya yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia Star TV kwenye kipindi cha Medani za Siasa na Uchumi. Mambo yaliyozungumziwa: 1. Uendeshaji na mwelekeo wa Bunge, 2. Vijana na Uongozi,...
View ArticleRAIS KIKWETE AWATOA HOFU WAWEKEZAJI WA MAREKANI KUHUSU TISHIO LA CHINA NCHINI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIHakuna tishio la China – Rais KikweteRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa maslahi ya makampuni ya Marekani yanayotaka...
View ArticleHizi ni picha nyingine za uchi za msanii Manaiki ...Ziangalie kwa makini...
Huyu ni msanii Manaiki Sanga “The Don” aliyejipatia umaarufu mkubwa nchini na duniani baada ya picha zake za utupu akiwa na wanawake zaidi ya 400 wakiwemo wazungu akifanya nao ngono nzembe kuvuja...
View ArticlePicha za serengeti fiesta 2013 ndani ya uwanja wa karume mjini musoma mkoani...
Msanii mwingine anaefanya vyema hivi sasa katika anga ya muziki wa Bongofleva,Rich Mavoko akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu,mbele ya wakazi wa mji wa musoma waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha...
View ArticleDaktari FEKI akamatwa katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar
DAKTARI anayedaiwa kuwa bandia amekamatwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam, akiwa na vitambulisho bandia vya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Muhimbili cha Afya na Sayansi Shirikishi...
View Article