Kijana anayedaiwa kuwa muumini wa kanisa la kilokole (jina tunalo) la
jijini Dar, Faraji Oti amekutwa na mazito akidaiwa kufumaniwa na mke wa
mtu aliyetajwa kwa jina moja la Jesca.
MANZESE, DARTukio hilo lililoongeza furaha ya Shetani, lilichukua
nafasi mwanzoni mwa wiki hii majira ya 11:00 jioni huko Manzese, jijini
Dar.
Kwa mujibu wa watu wa karibu na wahusika hao, kisa kilianzia
↧