CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa kujiuzulu kwa kushindwa kulipa madeni ya
walimu nchini.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana pia ametoa muda wa
miezi sita kwa Waziri huyo na Naibu wake Philip Mulogo kutekeleza hilo
agizo hilo vinginevyo chama kitawatumia wabunge wake kuwatimua kwa
nguvu.
Kwa mujibu wa taarifa za madeni
↧