SIKU moja, baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema anashangazwa na uongo
wa baadhi ya wanasiasa kumtuhumu juu ya mambo mbalimbali kuhusu mchakato
wa Katiba Mpya, viongozi wa vyama vitatu vya upinzani wameibuka na
kusema madai hayo hayana msingi wowote.
Viongozi hao ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Freeman Mbowe, Profesa Ibrahim Lipumba (CUF) na James Mbatia
(
↧