Mahojiano haya yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia Star TV
kwenye kipindi cha Medani za Siasa na Uchumi. Mambo yaliyozungumziwa:
1.
Uendeshaji na mwelekeo wa Bunge,
2. Vijana na Uongozi,
3. Suala la
Urais 2015,
4. Mwelekeo wa Chama Cha Mapinduzi,
5. Rushwa na maadili
katika Chaguzi.
<!-- adsense -->
↧