Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inaingia raundi yake ya tano kesho (Septemba
21 mwaka huu) kwa mechi huku vinara Simba wakiwakaribisha Mbeya City
kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Uwanja wa Mkwakwani, Tanga
utakuwa mwenyeji wa mechi kati ya Mgambo Shooting Stars na Rhino Rangers
ya Tabora. Mtibwa Sugar itakuwa mgeni wa Tanzania Prisons katika
pambano litakalochezwa Uwanja wa Kumbukumbu
↧