Vyama vitatu vya Upinzani vinavyounda Umoja wa vyama vya
Upinzani nchini vilivyopanga kufanya maandamano ya amani kupinga baadhi
ya vipengele vilivypopo kwenye rasimu ya katiba vimeridhia kuahirisha
maandamano hayo yaliyokuwa yafanyike Septemba 21 mwaka huu.
Vyama hivyo ambavyo ni CUF,CHADEMA,na NCCR MAGEUZI kwa pamoja
vimekubaliana na uongozi wa juu wa jeshi la Polisi nchini
↧