TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIHakuna tishio la China – Rais KikweteRais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amesema kuwa maslahi ya makampuni ya Marekani yanayotaka kuwekeza katika
Tanzania hayataathiriwa na kuwepo kwa China katika uchumi wa Tanzania
kwa sababu China siyo moja ya wawekezaji wakuu katika uchumi wa Tanzania
kwa sasa.Rais Kikwete amesema
↧