Huyu ni
Flora Bahati Lyimo ambaye aliwahi kutikisa media za Tanzania kwa kudai kwamba alibakwa na mbunge
Godbless Lema wa Arusha....
Katika maelezo yake ambayo aliyatoa katika gazeti moja la udaku la hapa Tanzania, mwana mama huyu alifunguka kwamba Godbless Lema alimbaka wakati alipoenda nje ya nchi kwa shughuli za kichama.
Hata hivyo, madai hayo
↧