Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam limepiga marufuku maandamano ya
umoja wa vyama vya CUF, NCCR na CHADEMA siku ya Jumamosi yaliyokuwa yamepangwa kuanzia Tazara hadi Jangwani na Mwenge hadi Jangwani na sehemu
mbalimbali ...
Taarifa iliyotolewa na kamanda Kova kupitia ITV imeeleza kuwa Polisi wamechunguza na kugundua kwamba maandamano hayo yataleta
usumbufu kwa watu wengine na
↧