Hakimu wa mahakama ya Mwanzo mjini Shinyanga Mheshimwa Nyanguoa Masaba
amejeruhiwa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali akiwa Mahakani akitoa
hukumu. Tukio hilo limetokea leo katika mahakama ya mwanzo mjini Shinyanga. Hakimu huyo alijeruhiwa na mlalamikaji katika kesi ya wizi wa Baiskeli wakati akitoa hukumu. Tukio hilo limesababisha mahakama hiyo kusimama kumnusuru hakimu huyo na
↧