Leo asubuhi tulitoa swali moja la kawaida kwa wasomaji wetu na kuahidi kutoa zawadi ya vocha ya sh. 1000 kwa mshindi mmoja wa kwanza....
Swali hilo liliambatanishwa na picha moja ya mdada na mkaka wakiwa kimahaba na kisha kuhoji ni nani KAJIKOJOLEA....
Katika picha hiyo, msomaji alitakiwa kuitazama kwa makini na kisha kutoa majibu yake kwa njia
↧