Mwisho wa dunia kwa mujibu wa wanasayansi bado sana. Maisha duniani yataendelea kuwepo kwa miaka bilioni 3.5 mingine.
Baada ya hapo wanasayansi wanaamini jua litakuwa kali kiasi ambacho
hakuna kiumbe kitakachoweza kuishi. Tangu iwepo, sayari ya dunia imekuwa
kwenye umbali sahihi kutoka kwenye jua kiasi cha kuifanya iwe na
maisha.
Wanasema tatizo ni kwamba nyota zimeendelea kuchemka
↧