Kanisa la Evangelistic Assemblies of God
(EAGT) linatarajia kuuanza mwezi ujao kwa machungu mapya kabisa huku yale
ya kuaga dunia kwa aliyekua Askofu wake mkuu Askofu Moses Kulola yakiwa
hayajapoa.....
Kanisa hilo linatakiwa kusimama mahakamani mwezi ujao Oktoba
1 kujitetea ili waumini wake wasiondolewe kwenye kanisa la Bugando
ambako askofu Kulola amezikwa.
Chanzo kimojawapo
↧