Mtoto achomwa moto na mama yake akituhumiwa kuiba mayai ya kuku jijini Mbeya.
WIMBI la ukatili dhidi ya watoto linazidi kushika kasi jijini hapa baada ya mtoto, Emilly George (7) Mkazi wa kijiji cha Ruanda wilaya ya Mbeya kuunguzwa vibaya mikono na mama yake mzazi, Elisia...
View ArticleIrene Uwoya aahidi kufichua SKENDO kubwa na mbaya za ERICK SHIGONGO
Lile bifu linalondelea kati ya mwigizaji Irene Uwoya na mmiliki wa kampuni maarufu ya magazeti nchini Erick Shigongo limeshika sura mpya baada ya mwigizaji huyo kuapa kuzianika hadharani SKENDO...
View ArticleNGEDERE ATIMUKA NA BUKTA YA BEKI WA TIMU YA SIMBA....
Ngedere mmoja kwa jina la Sharobaro amekuwa kivutio katika kambi ya Simba iliyopo kwenye Fukwe za Bamba nje kidogo ya Jiji la Dar, eneo la Kigamboni, ambapo gazeti la Championi Jumatano...
View ArticleJESHI LA POLISI LAPONGEZWA KWA KUMKAMATA MWALIMU ALIYELAWITI WANAFUNZI WANNE...
Mmoja kati ya watoto wanaodaiwa kulawitiwa na mwalimu huyo.. SIKU chache baada ya Gazeti la Majira kuandika habari ya ukatili wa kutisha dhidi ya mwalimu anayedaiwa kuwalawiti wanafunzi wanne...
View ArticleURUSI NA UFARANSA WAZIDI KUMUUMIZA RAIS OBAMA.....WADAI SYRIA HAISTAHILI...
Urusi na Ufaransa zimeeleza wazi wazi tofauti zao kuhusu ripoti ya wataalamu wa silaha wa Umoja wa Mataifa, ambayo ilithibitisha kwamba silaha za kemikali zilitumiwa nchini Syria. Waziri wa mambo ya...
View ArticleCHADEMA,NCCR MAGEUZI NA CUF WATOA MSIMAMO WAO MPYA....
Vyama vya NCCR-Mageuzi, CUF na Chadema vimeanza kuwasha moto wa katiba baada ya kuanza kukutana na viongozi wa Jukwaa la Katiba Tanzania ikiwa ni harakati za kupinga mchakato wa katiba mpya kwa...
View ArticleAISHA BUI AKANUSHA MADAI YALIYOSAMBAA KWAMBA " YEYE NI PUNDA " ALIYEFUNGWA...
Msanii wa Bongo Movie Aisha Bui amefunguka kuwa ameshangazwa na madai yaliyoenea kuwa amefungwa nchini Brazil baada ya kunaswa na unga. Akizungumza na Globalpublishers, Aisha amesema kuwa yeye...
View ArticleMTU MMOJA APOTEZA MAISHA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA SIMBA MKOANI LINDI
Hili ni tukio la kutisha lililomkumba mtanzania mwenzetu ambaye ni mkazi wa kijiji cha Lionja kilichoko wilayani Nachingwea katika mkoa wa Lindi... Mtanzania huyo alishambuliwa...
View ArticleTanzania yatengwa rasmi na nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ( EAC )
HATIMAYE Tanzania imewekwa kando rasmi na nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), katika kuunda Shirikisho la Kisiasa litakaloziongoza nchi hizo. Tayari marais wa nchi hizo, Paul Kagame wa...
View ArticleHuu ni ujumbe wa EDWARD LOWASSA kwa wanasiasa WASIOMPENDA....
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema yuko imara na hakatishwi tamaa na maneno ya baadhi ya wanasiasa dhidi ya harakati zake za kisiasa. Lowassa ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita,...
View ArticleUnafahamu maana ya "PEOPLES POWER" ya CHADEMA??...Kama hujui, Waziri MAGUFULI...
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli amesema kuwa anafurahishwa na salamu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa kuwa kila neno katika salamu hiyo lina maana na linaashiria ushindi....
View ArticleNdoa yasambaratika KANISANI ikiwa na dakika chache kabla ya...
Hili ni tukio la kusikitisha, lakini lenye mafunzo kibao ndani yake.... Tukio hilo lilitoke mwanzoni mwa mwezi wa nane mwaka huu ndani ya kanisa la Pentekoste la nchini Kenya...
View ArticleAibu: Shehena ya Samaki walioharibika yanaswa ikiwa Tabata Bima Jijini Dar ES...
Shehena ya samaki tani 22.5 kutoka nchini China wanaodaiwa kuharibika na kutokuwa salama kwa matumizi ya binadamu wamekutwa katika eneo la Tabata Bima jijini dar es salaam huku baadhi ya samaki hao...
View ArticleMpenzi wangu ni MSAGAJI, bado nampenda na kumwacha nashindwa.Naomba ushauri
Dunia yetu kwa sasa imepata mabadiliko makubwa sana, kiasi cha kusababisha tamaduni na desturi zetu kuathiriwa na mabadiliko hayo. Ingawa ni maeneo mengi yameathirika kutokana na athari za...
View ArticleUtafiti: Simu za kupapasa ( SMART PHONE ) zina uchafu mwingi kuliko CHOO.
Simu ya kupapasa. Watafiti wamebaini kuwa baadhi ya vifaa vya kisasa vya mawasiliano vinavyotumika kwa kupapasa kama tablet komputa na smart-phones huwa na vijidudu vingi vya uchafu kuliko hata...
View ArticleLulu Michael ndani ya MKASI SHOW....Safari hii atatudanganya nini??...Hizi ni...
Actress Lulu Michel is so busy nowadays shooting new movies, media interviews and many more. Today the Swahili movies screen queen was on set shooting her interview with Mkasi Tv show which is...
View ArticleHII NDO PICHA ILIYOMFANYA AMBER ROSE AACHANE NA KANYE WEST
SIRI mojawapo ya penzi la dhati ni heshima.Tendo la ndoa pekee halitoshi kumfanya mtu ajione anapendwa na kuthaminiwa.... Katika hali ya kawaida, utajisikiaje mpenzi wako...
View ArticleDIVA WA CLOUDS FM AMTIBUA TENA ZITTO KABWE.
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ amesema alichokuwa anahitaji katika sakata lake la kudai ameibiwa ‘idea’ ya Kigoma All Star East Africa Tour na Mhe. Zitto...
View ArticleHII VIDEO NI KWA AJILI YA AKINA KAKA TU....Ni ya binti akikata mauno kama...
Baada ya kupashana kwa habari motomoto za matukio ya kila siku hapa nchini, si mbaya pia tukiwa tunaburudika japo mara moja moja.... Hizi ndo faida za utandawazi.Huyu ni binti...
View ArticleToka Maisha ya UTEJA mpaka kutembelea gari...Hili ni gari jipya alilonunua...
STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray C’ ameamua kuianika gari yake ambayo anatembelea kwa sasa ... Gari hilo ni aina ya Jaguar ambalo namba zake za usajili hazionekani vizuri ila mwishoni...
View Article