Lile bifu linalondelea kati ya mwigizaji Irene Uwoya na mmiliki
wa kampuni maarufu ya magazeti nchini Erick Shigongo limeshika sura
mpya baada ya mwigizaji huyo kuapa kuzianika hadharani SKENDO chafu za Erick Shigongo huku akitangaza wazi kuwa haogopi kufa wala kumwagiwa tindikali...
Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii Irene alitundika maneno yafuatayo:
↧