WIMBI la ukatili dhidi ya watoto linazidi kushika kasi jijini hapa baada
ya mtoto, Emilly George (7) Mkazi wa kijiji cha Ruanda wilaya ya Mbeya
kuunguzwa vibaya mikono na mama yake mzazi, Elisia Mwasile (41) kwa maji
ya moto kisha kufungiwa ndani kwa siku saba.
Akizungumza huku akiwa
anatetemeka kwa hofu, mama wa mtoto huyo, Elisia alisema kuwa chanzo cha
kumchoma mtoto wake ni kutokana
↧