JESHI la Polisi mkoani Morogoro limemkamata msanii nyota wa muziki wa
Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa kosa la kuendesha
gari kwa mwendo wa kasi wakati alipokuwa akiwahi shoo ya Fiesta
iliyofanyika mjini hapa Jumapili iliyopita.
Kwa mujibu wa askari
mmoja wa kikosi cha usalama wa barabarani aliyeomba hifadhi ya jina lake
kwa kuwa si msemaji wa jeshi hilo, walimkamata
↧