Rais Shein amtembelea padri aliyemwagiwa tindikali mjini UNGUJA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Padri Joseph Monesmo Magamba, wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, alipofika katika Hospitali ya...
View ArticleSerikali yakata mawasiliano na WAPINZANI...Yaapa kutowaalika tena IKULU
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wassira, amesema wapinzani wasitarajie tena kukaribishwa Ikulu, kutokana na msimamo wao wa kususia mjadala wa Muswada wa Marekebisho ya...
View ArticleSHEMEJI yangu ananitaka kimapenzi....Naombeni ushauri wenu
Nina rafiki yangu ambaye ni kama ndugu,tumetoka mbali sana na sasa ni kama mtu na kaka yake.Jamaa yangu huyu(hajaoa) alikuwa na dem flani lakini walishindwana kwa matatizo yao binafsi wakawa...
View ArticleMwakyembe abaini kutobolewa kwa bomba la mafuta bandarini....Atoa siku 2 za...
Waziri wa uchukuzi Dkt. Harrisoni Mwakyembe amebaini wizi wa mafuta katika boya la mafuta mjimwema na kuagiza maskari wa usimamizi wa bandari Tanzania kuwakilisha majina ya wahusika ndani ya siku...
View ArticleDk. Slaa aelekea Mbeya kumsafisha Sugu
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema), Dk. Willbroad Slaa, leo anatarajia kuongoza mapokezi makubwa ya kumpokea Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’. Mbunge huyo...
View ArticleJeshi la Rwanda lasogezwa mpakani....Majeshi ya SADC yaendelea kujiweka...
VIKOSI vya wanajeshi vya Serikali ya Rwanda vyenye silaha za kivita, sasa vimesogezwa katika eneo la mpaka wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Taarifa ya kusogezwa kwa vikosi...
View ArticleNape amtaka MBOWE ajiuzulu haraka....Awashauri wananchi kutumia busara katika...
Katibu wa Itikadi na Uendezi wa Chama Cha mapinduzi (CCM),Nape Nnauye amemtaka Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe kujiuzulu nafasi hiyo mara moja kwa sababu ameshindwa kuiongoza kambi hiyo....
View Article"Erick Shigongo ameamua kunichafua magazetini kwa kuwa nina kesi nae...
Irene Uwoya amejibu mapigo ya kudaiwa kuiba simu aina ya iphone 5 toleo jipya la mwaka huu ambapo habari hiyo iliripotiwa jana katika gazeti la Risasi na kutawala mitandao mingi ya kijamii....
View ArticleVideo ya ngono ya wanafunzi wengine wa Chuo / College yanaswa.
Baada ya video wa wanafunzi wa chuo/ college flani kunaswa na mtandao huu miezi minne iliyopita, mpekuzi wetu amefanikiwa kuinasa video nyingine ya wanafunzi ambao waliamua...
View ArticleTanzania yatuhumiwa kuwabaka raia wa Malawi....Kurugenzi ya idara ya habari...
Msemaji wa Serikali ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene akitoa ufanunuzi kwa waandishi wa habari jana mjini Dar es salaam juu ya taarifa zilizochapishwa na gazeti la Malawi...
View ArticleUmewahi shuhudia ugomvi wa Mbwa na Jogoo?...
Kweli JOGOO ni jogoo tu ...Ulikuwa ni ugomvi mkubwa sana kati ya Mbwa na Jogoo baada ya kupambanishwa na jirani yangu leo.... Jamaa alitupa mnofu wa nyama mbele ya jogoo na...
View ArticleHii ni video ya akina mama Wakimlilia sheikh ponda alipofikishwa mahakamani leo
Hatimaye mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Morogoro imeamua kumnyima dhamana katibu wa jumuiya na taasisi ya kiislamu nchini Sheikh Ponda Issa Ponda anayekabiliwa na mashitaka matatu ambayo ni kutokutii...
View ArticleSekondari ya Iliboru yafungwa kwa hofu ya kuchomwa moto na wanafunzi
SHULE ya Sekondari ya Ilboru, jijini Arusha imefungwa kwa muda usiojulikana kuanzia leo baada ya kuwepo hofu ya kuchomwa moto. Uchunguzi wa madai ya shule hiyo kuchomwa moto, unaendelea kufanywa huku...
View ArticleWizara yatoa onyo kali kwa balozi wa China aliyehudhuria mkutano wa CCM
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imehadharisha mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini, kuepuka kujihusisha na mambo ya ndani.Hadhari hiyo imetolewa jana katika...
View ArticleChege na Temba kuanza ziara ya miezi 3 Ulaya wiki ijayo.Ommy Dimpoz naye yuko...
Wasanii wa Kundi la TMK Wanaume Family Chege na Temba wanatarajia kuanza ziara ya miezi 3 barani Ulaya kuanzia wiki ijayo. Akizungumza na mwandishi wetu, meneja wa kundi hilo Said Fella amesema leo...
View ArticleAibu: Mzee wa miaka 95 amuoa mwanaume mwenzake wa miaka 65 huko Marekani
Wanaume wawili wazee ambao ni maaskari wakongwe walioshiriki vita ya pili ya dunia, ijumaa iliyopita (September 13) walifunga ndoa ya jinsia moja (mashoga) baada ya kuwa katika uhusiano kwa miaka 20...
View ArticleJOHARI na CHUCHU HANS WAPIGANA HADHARANI KISA PENZI LA RAY ( Vicent Kigosi)
Kuna habari ambazo zilianza kusambaa mitandaoni jana kuwa mastaa wa filamu nchini Chuchu Hans na Blandina Chagula(Johari) wamefumaniana kisa ni muigizaji mwenzao Vicent Kigosi(Ray). Inadaiwa kuwa...
View Article"Hakuna sheria inayomlazimisha Kikwete asisaini mswada wa sheria...Maandamano...
Waziri wa Katiba na Sheria, Mathis Chikawe amesema Rais Jakaya Kikwete hana mpango wa kuongeza muda wa uongozi wake baada ya 2015 kama baadhi ya wanasiasa wanavyodai. Kadhalika, waziri huyo amesema...
View ArticleWaliolipua mabomu katika mkutano wa CHADEMA jijini Arusha wakamatwa
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw Magesa Mulongo. WATUHUMIWA walioingiza mabomu ya kurushwa kwa mkono yaliyotupwa Arusha Mei na Juni katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti na...
View ArticleNay wa Mitego aonja jeuri ya TRAFFIC....Apigwa faini kwa kukaidi amri ya...
JESHI la Polisi mkoani Morogoro limemkamata msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa kosa la kuendesha gari kwa mwendo wa kasi wakati alipokuwa akiwahi shoo ya...
View Article