CCM yajisalimisha kwa Tundu Lissu baada ya kuiomba mahakama ifute Rufaa ya...
WAKATI rufaa ya kupinga ubunge wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA) ikitarajiwa kuanza kusikilizwa katika Mahakama ya Rufaa Dodoma, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Wakili wake,...
View ArticlePolisi mkoani Dodoma yashindwa kumfikisha mahakamani mbunge SUGU wa Mbeya mjini
JESHI la Polisi mkoani Dodoma limeshindwa kumpandisha kizimbani Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), kwa madai kuwa upelelezi bado haujakamilika. Mbilinyi, maarufu kama ‘Sugu’ alifunguliwa...
View ArticleRais Kikwete awapa MAKAVU wanaoudharau utendaji kazi wake....Adai 2015...
Rais Jakaya Kikwete amesema wale wote wanaombeza kuhusu utendaji wake, wataona aibu atakapomaliza muhula wake 2015 huku akiwananga baadhi ya wanaCCM kwa kushindwa kuyaelezea mafanikio ya Serikali chini...
View ArticleNdoa ya mzee MAJUTO yavunjika
MWANAMKE anayedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchekeshaji mahiri Bongo, Amri Athuman maarufu kama Mzee Majuto au King Majuto, Rahma Abdallah (20), ameibuka na kudai kutelekezwa na mumewe huyo. Ndoa hiyo...
View ArticlePicha za UCHI za binti wa kibongo zavuja....
Utandawazi umeendelea kuwaangamiza dada zetu wanaopenda kuiga mambo wasiyoyajua.... Katika upekuzi wetu, mtandao huu umefanikiwa kuzinasa picha za mrembo huyu akiwa katika pozi la...
View ArticleMsanii azianika nyeti zake jukwaani wakati akipiga show
Msanii toka nchini Nigeria amejikuta akijitia aibu ya mwaka baada ya kuzianika nyeti zake hadharani wakati akitumbuiza jukwaani.... Aibu hiyo ilimpata kutokana na kivazi kifupi...
View ArticleMwanamke akamatwa uwanja wa ndege akiwa na mimba bandia iliyokuwa na madawa...
Kila kukicha vita dhidi ya biashara haramu ya dawa za kulevya inazidi kupamba moto, wakati mataifa mbalimbali yakizidi kuimarisha udhibiti wa biashara hiyo, na wafanyabiashara hiyo wanazidi kuja na...
View ArticleReginald Mengi na waziri Sospeter Muhongo WASHIKANA Mashati
MWENYEKITI Mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, wameingia katika mzozo mzito kuhusu uwekezaji katika sekta ya gesi. Katika mzozo huo,...
View ArticleBaba afikishwa mahakamani baada ya kumbaka mwanae
MKAZI wa Kijiji cha Njoro wilayani Kiteto mkoani Manyara, Mohamed Ally (42) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake wa kufikia. Mwendesha Mashitaka wa Polisi,...
View ArticleTundu Lissu atunisha msuli....Akataa uamuzi wa CCM kutaka kuifuta kesi yake
WAKATI viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakiwasili mjini Dodoma kuungana na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, katika rufaa ya kupinga ubunge wake inayoanza kusikilizwa leo, mbunge huyo amekataa...
View ArticleMtanzania anaswa AKILAWITIWA na Mzungu CHOONI...Wajitetea na kudai walikuwa...
MDOSI au Kanjibai aliyefahamika kwa jina moja la Milah ambaye ni bosi wa kampuni moja ya ujenzi yenye makao yake Mwenge jijini Dar alinaswa chooni akiwa na mfanyakazi wake, John Carlos ‘Shabani’ (watu...
View ArticleJokate ataja sababu nne zinazowafanya wanaume WAMMEZEE MATE na kumtongoza...
MREMBO anayefanya vizuri katika mambo mengi nchini, Jokate Urban Mwegelo (pichani) ametaja sababu nne zinazowafanya wanaume kumzimikia, akiwemo nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Akiandika...
View ArticleMtuhumiwa ajikojolea Mahakamani huko Morogoro
MTUHUMIWA, Manfred Adam anayekabiliwa na kesi ya kutishia kuua katika hali isiyotarajiwa amelimwaga kojo katika Mahakama ya Mwanzo na kuleta vurugu kubwa zilizosababisha kuvunjika kwa meza ya Mahakama...
View ArticlePadri wa kanisa KATOLIKI amwagiwa tindikali huko Zanzibar
Padre Ancelmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar amemwagiwa tindikali katika mgahawa wa Sun Shine uliopo Mlandege, Zanziabar na kusababishiwa maumivu makali sana. Habari...
View ArticleVideo ya Padri aliyemwagiwa tindikali huko Zanzibar na kuumizwa vibaya.
Kwa mara nyingine Zanzibar imeshuhudia tukio la kumwagiwa tindikali ambapo watu wasiojulikana wamemwagia tindikali Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mpendae,Padri Anselmo Mwan'gamba <!--...
View ArticleRay C na Zamaradi Mketema waingia katika bifu zito....Kisa ni PENZI la mwanaume
So Rehema Chalamila aka Ray C na mtangazaji wa kipindi cha Take One cha Clouds TV, Zamaradi Mketema haziivi? Katika kile kilichoacha wazi midomo ya watu wengi, warembo hao leo wameingia kwenye vita...
View ArticleShilole atachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya kuianika CHUPI na SHANGA za...
WENYEKITI wa Kamati ya Umoja wa Mashirikisho ya Sanaa Tanzania, Kimela Billa, ameutaka uongozi wa Shirikisho la Muziki Tanzania, kumchukulia hatua ya kinidhamu, msanii wa muziki wa mduara Shilole...
View ArticleRipoti ya gazeti la MWANANCHI kuhusu Padri aliyemwagiwa tindikali jana huko...
Padri wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, Joseph Monesmo Magamba amemwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege jana jioni, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Kaimu...
View ArticleIrene Uwoya akamatwa na polisi kwa wizi wa simu aina ya iPhone 5
MSANII aliyewahi kutamba kisha kuporomoka kwa kasi katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa sababu ya tabia zake chafu, Irene Uwoya, amefikishwa Kituo cha Polisi Msimbazi kwa wizi wa simu aina ya...
View Article"Namshukuru mungu maana sina UKIMWI...Mwenye wivu ajinyonge"..Recho
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ amejikuta akivuja jasho la furaha baada ya kupima Ukimwi na kujikuta yupo salama. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni maeneo ya Sinza Palestina ambapo...
View Article