"Nipo tayari kugombea URAIS endapo wananchi WATANICHAGUA."..Mwigulu Nchemba
Naibu katibu mkuu wa CCM bara, Mh. Mwigulu Nchemba ambaye pia ni mbunge wa Iramba amefunguka kuwa vurugu zilizotekea bungeni wiki iliyopita zilisababishwa na kambi ya upinzani kukosa akili na...
View ArticleTaharuki kubwa yaibuka katika mpaka wa Rwanda na Tanzania.
Taharuki imeibuka katika mpaka wa Tanzania na Rwanda wakati madereva wa malori kutoka nchini wakihaha kuvuka kuingia Rwanda kabla ya kuanza kutumika kwa ushuru mpya wa barabara ambao unaanza kutumika...
View ArticleMtandao wa fedha haramu wabainika kuwepo Tanzania
Mtandao wa kimataifa unaojihusisha na utengenezaji wa fedha bandia unaowahusisha baadhi ya wafanyabiashara wa nchi jirani ya Kenya na Tanzania umebainika kuwepo nchini kufuatia jeshi la polisi kukamata...
View ArticleJokate afunguka baada ya kutuhumiwa kugawa URODA kwa LUCCI ili auze sura
Baada ya kutuhumiwa kugawa uroda kwa Lucci ili aweze kuuza sura katika video mpya ya "dada, kaka" , Jokate ameamua kufunguka na kuzikanusha tuhuma hizo.... Huu ni ujumbe wake...
View ArticleAlex Massawe afikishwa mahakamani huko Dubai
Mfanyabiashara maarufu nchini, Alex Massawe amefikishwa mahakamani Dubai, Falme za Kiarabu (UAE), kwa tuhuma za mauaji baada ya Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol),...
View ArticleNdugai na Mbowe walivunja kanuni za Bunge MAKUSUDI kwa maslahi ya vyama...
Kumekuwa na mjadala mkali kuhusu iwapo Naibu Spika, Job Ndugai alikiuka Kanuni za Bunge katika kushughulikia vurugu zilizotokea Bungeni Alhamisi iliyopita kwa kuamuru kutolewa nje kwa Kiongozi wa Kambi...
View ArticleHaya ndo mashitaka matatu aliyosomewa makamu wa Rais wa Kenya mbele ya...
William Ruto amekana mashtaka yote yanayomkabili kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama hiyo, Fatou Bensouda anayesimamia kesi hiyo, alisema watuhumiwa...
View Article"CHADEMA wamepewa mamilioni ya fedha na wazungu ili wakwamishe mchakato wa...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeibua madai mazito dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuwa kimepewa mamilioni ya fedha kutoka nje ya nchi, kwa nia ya kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya....
View ArticleGari la kubebea wagonjwa lakamatwa likitumika katika wizi ndani ya Mgodi wa...
Mwandishi wa habari Denice Stephano anaripoti kwamba gari la kubebea wagonjwa limekamatwa likitumika katika wizi ndani ya mgodi wa Geita na kufanya wapatikane watuhumiwa tisa wa kesi ya wizi wa mafuta...
View ArticleVideo ya binti wa kidato cha nne akisimulia jinsi alivyotongozwa na Diamond (...
MREMBO Sasha Juma, 20, kwa sasa anapitia kipindi cha majuto, analipia gharama ya kujivalisha ubandidu na kujisingizia kupewa mimba na supastaa, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’. Sasha, akiwa na macho...
View ArticleSADC yamuonya Kagame kuhusu mipango yake ya kuivamia Tanzania baada ya kuomba...
MZOZO wa kidiplomasia alioibua Rais wa Rwanda, Paul Kagame kwa Rais Jakaya Kikwete, sasa unaonekana kuchukua mwelekeo mpya, baada ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kumuonya kiongozi...
View ArticleMnyarwanda AJINYONGA baada ya kuamriwa arudi kwao RWANDA
Raia wa Rwanda amejinyonga kwa kamba chumbani kwake, tukio linalohusishwa na zoezi linaloendelea hivi sasa nchini la kuwasaka wahamiaji haramu na kuwarejesha makwao.Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la...
View ArticleHakimu apigwa na wanajeshi wa JWTZ huko karagwe kwa kudhaniwa kuwa ni Mnyarwanda
Matendo Manono (kushoto) Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Matendo Manono ambaye ni Hakimu Mkazi katika Mahakama ya Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera amelalamikia kitendo cha kupigwa na kujeruhiwa...
View ArticleMwandishi wa gazeti la MWANANCHI akatwa katwa mapanga mkoani SINGIDA
Mwandishi wa habari wa gazeti la The Citizen na mwananchi mkoani Singida, Awila Silla amenusurika kuuawa na mtu anayedhaniwa kuwa Jambazi baada ya kukatwa katwa mapanga kichwani na kusababisha...
View ArticlePesa zazidi kumwagika kwa DIAMOND...Haya ni mamilioni aliyopewa na VODACOM
Msanii wa muziki ya kizazi kipya Diamond Platinumz (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa, punde baada ya kusaini mkataba utakaowezesha...
View ArticleDiamond ajibu tuhuma za KUMTUNDIKA MIMBA mwanafunzi na zile za wimbo wa Dayna
Hatimaye Diamond Platnumz leo amejibu tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabali ikiwemo ile ya Dayna Nyange kudai kuwa alitumia beat ya wimbo wake kurekodi wimbo wake unaotamba sasa, Number 1 na pia...
View ArticleRay C alianika "shairi la penzi lake" instagram...Albam yake mpya iko jikoni...
Haya wale wenye kiu na ujio mpya wa Ray C mnaweza kuanza kuandaa makoo yenu sababu chakula kimeshawekwa jikoni na muda si mrefu mnaweza kukaribishwa mezani. Ray C ameshea picha kadhaa akiwa studio na...
View ArticleHiki ni kilio cha Bondia Rashid Matumla baada ya mdogo wake kukamatwa na dawa...
Bondia Rashid ‘Snake man’ Matumla amedai endapo itathibitika mdogo wake Mkwanda anajihusisha kusafirisha dawa za kulevya atakuwa ameipa fedheha familia yao. “Mkwanda ameipa fedhea familia yetu, hii ni...
View ArticlePongezi za dhati kwa mmiliki wa "UDAKU SPECIALLY BLOG" kwa kufunga ndoa.
Pongezi za dhati zikufikie Mmmliki wa Mtandao wa Udaku specially blog kwa kufunga ndoa.Ni uamuzi wa busara sana na hiyo ni hatua muhimu sana katika maisha ya mwanadamu.....
View Article"Kwa sasa Sina MPENZI ....mwenye nia ya dhati ANITAFUTE"...Baby Madah
Leo katika interview na baby Madaha ambaye hivi karibuni amesaini mkataba mnono na kampuni ya Candy n’ Candy Records ya jijini Nairobi nchini Kenya , Bongomovie.com wameweza kupata mambo matano...
View Article