Mfanyabiashara maarufu nchini, Alex Massawe amefikishwa
mahakamani Dubai, Falme za Kiarabu (UAE), kwa tuhuma za mauaji baada ya
Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol),
kuiomba Serikali ya nchi hiyo kumkamata.
Massawe anayetarajiwa kuletwa nchini wakati wowote
kuanzia sasa, alikuwa anatafutwa na Polisi wa Tanzania kwa muda mrefu
na alikamatwa Dubai,
↧