Matendo Manono (kushoto)
Mtu
mmoja aliyefahamika kwa jina la Matendo Manono ambaye ni Hakimu Mkazi
katika Mahakama ya Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera amelalamikia kitendo
cha kupigwa na kujeruhiwa vibaya na Askari wa Tanzania, katika zoezi la
kuwaswaga wahamiaji haramu wa kinyarwanda wanao ishi nchini Tanzania.
Soma maelezo ya hakimu huyo hapo chini...
"
i have a serious
↧