Raia wa Rwanda
amejinyonga kwa kamba chumbani kwake, tukio linalohusishwa na zoezi
linaloendelea hivi sasa nchini la kuwasaka wahamiaji haramu na
kuwarejesha makwao.Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la tukio,
marehemu anatajwa kuwa ni Francis Mathias (75), ambaye alikuwa mkazi wa
kitongoji Kikukuru kata Kikukuru, tarafa Mabira wilayani Kyerwa mkoani
Kagera.Mwenyekiti wa kitongoji cha
↧