MZOZO wa kidiplomasia alioibua Rais wa Rwanda, Paul Kagame kwa Rais
Jakaya Kikwete, sasa unaonekana kuchukua mwelekeo mpya, baada ya Jumuiya
ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kumuonya kiongozi huyo kuacha
mara moja fikra zozote mbaya dhidi ya Tanzania, MTANZANIA Jumatano
limedokezwa.
Habari za uhakika na za kuaminika kutoka miongoni mwa viongozi wa juu
wa SADC na maofisa wa
↧