MREMBO Sasha Juma, 20, kwa sasa anapitia kipindi cha majuto,
analipia gharama ya kujivalisha ubandidu na kujisingizia kupewa mimba na
supastaa, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’.
Sasha, akiwa na
macho makavu, alitamka mbele ya waandishi wetu kuwa mimba hiyo aliyopewa
na Diamond, ilimgharimu kufukuzwa shule akiwa kidato cha nne mwaka
jana.
Unadhani Sasha analo tena? Ameshaumbuka na baada ya
↧