Mwandishi wa habari Denice Stephano anaripoti kwamba gari la kubebea wagonjwa limekamatwa likitumika katika wizi ndani ya mgodi wa Geita na kufanya wapatikane watuhumiwa tisa
wa kesi ya wizi wa mafuta katika mgodi huo wa Dhahabu ( GEITA GOLD MINE ).
Mwendesha
mashitaka wa polisi Inspekta Abiner ameiambia mahakama September 9 2013
kwamba 5/09/2013 saa 7:30 usiku huko eneo la Geita
↧