CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeibua madai mazito dhidi ya Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuwa kimepewa mamilioni ya fedha
kutoka nje ya nchi, kwa nia ya kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya.
CCM
kimeibua tuhuma hizo, ikiwa ni siku chache baada ya wabunge wa upinzani
kupigana ngumi na askari wa Bunge muda mfupi baada ya kupitisha hoja ya
kujadili Muswada wa Sheria ya
↧
"CHADEMA wamepewa mamilioni ya fedha na wazungu ili wakwamishe mchakato wa katiba mpya"..Nape Nnauye
↧