Bondia Rashid ‘Snake man’ Matumla amedai endapo itathibitika mdogo
wake Mkwanda anajihusisha kusafirisha dawa za kulevya atakuwa ameipa
fedheha familia yao.
“Mkwanda ameipa fedhea familia yetu, hii ni aibu kubwa ukizingatia
vitendo hivyo vinakatazwa si Tanzania tu bali na kwenye nchi nyingine”
Mkwanda ambaye kwa mujibu wa Rashid alipumzika kucheza ngumi miaka
kadhaa iliyopita kutokana
↧