Haya wale wenye kiu na ujio mpya wa Ray C mnaweza kuanza kuandaa
makoo yenu sababu chakula kimeshawekwa jikoni na muda si mrefu mnaweza
kukaribishwa mezani.
Ray C ameshea picha kadhaa akiwa studio na wadau mbalimbali akiwemo
Bab Tale na Said Fella, na kama haitoshi ameweka mashairi ya wimbo wake
ambao unaonekana ndio aliokuwa akiurekodi wakati anapiga picha hiyo na
kuandika “Mashairi
↧