Hatimaye Diamond Platnumz leo amejibu
tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabali ikiwemo ile ya Dayna Nyange kudai
kuwa alitumia beat ya wimbo wake kurekodi wimbo wake unaotamba sasa,
Number 1 na pia kuhusu Baba Levo kudai Diamond alimuibia chorus ya wimbo
wake.
Katika mahojiano na kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond pia
amejibu scandal kuhusu kumzalisha mwanafunzi iliyoandikwa na magazeti
↧