Msanii
wa muziki ya kizazi kipya Diamond Platinumz (kushoto) akisalimiana na
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin
Twissa, punde baada ya kusaini mkataba utakaowezesha wateja kuchukua
wimbo wa Diamond Platinumz kama Ring Back Tone (RBT) na wajishindie Tsh
50,000 kwa siku. Anayeshuhudia ni Salum Mwalim, Mejena wa Mahusiano ya
Nje, Vodacom Tanzania.
↧