Meli ya Tanzania yakamatwa na madawa ya kulevya Italia...
MV Gold Star ikiungua baada ya kuchomwa moto na wasafirishaji wa madawa ya kulevya. Moshi mkubwa ukitoka katika meli hiyo baada ya wahusika kujitosa majini.MV Gold Star ikipelekwa katika Bandari ya...
View ArticleMama lishe abakwa na Afisa tarafa na kuumizwa vibaya
AFISA Tarafa ya Kaliua Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Josephat Brown anatuhumiwa kumbaka mama lishe na kumsababishia maumivu makali na kisha kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo limetokea Agosti 29...
View ArticleMadiwani wataka SHERIA ya kuwalazimisha WANAUME kwenda KLINIKI itungwe
BAADHI ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Itilima mkoani Simiyu wameomba itungwe sheria ndogo, kushinikiza wanaume kushiriki huduma ya kliniki kwa lazima. Wametaka sheria itungwe ili atakayekaidi,...
View ArticleRipoti ya gazeti la IJUMAA WIKIENDA kuhusu msanii maarufu aliyenaswa na...
SAKATA la madawa ya kulevya kusafirishwa nje au kuingizwa nchini na kuwafikia vijana wanaoharibika kila kukicha, limezidi kuchukua nafasi ya kipekee baada ya ripoti mpya kabisa kutoka juzi... Aisha Bui...
View ArticleWaziri Magufuli azomewa mbele ya Rais jijini mwanza
RAIS Jakaya Kikwete jana alipata wakati mgumu, baada ya kukutana na nguvu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jijini Mwanza katika ziara yake, huku Waziri wake wa Ujenzi, Dk. John Magufuli,...
View ArticlePicha za kikatili za mwanamke aliyeuawa kwa kutobolewa KOROMEO
Mrembo Yusta Mkali, mkazi wa Kawe, Dar ambaye alikuwa mke wa mtu anadaiwa kuuawa kwa kutobolewa koromeo na mumewe, Musa Senkando na kusababisha simulizi ya kutoa machozi kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa...
View ArticlePicha za msanii RECHO akisuguliwa nyeti zake wakati wa tamasha la Serengeti...
MSANII kutoka kundi la Tanzania House of Talent (THT), Winfrida Josephat 'Rachel' akifanya vituko vyake stejini wakati wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2013. <!-- adsense -->
View ArticleMzungu wa African Barrick Gold atiwa mbaroni kwa kumtelekeza mtoto aliyezaa...
Andre akiwa na mzazi mwenzie akimsihi aondoe shauri hilo mahakamani Andre akiwa na mtoto wake nje ya mahakama ANDRE LAPIERRE (50) MFANYAKAZI WA MGODI WA BULHYAHULU Mzungu akitoka kusikiliza shauri...
View ArticleJack Wolper awataka wasanii wa kike WAJIHESHIMU kwa kutovaa mavazi ya nusu UCHI.
Muigizaji wa filamu za kibongo maarufu kwa jina Jackline Wolper amewaasa waigizaji wenzake wa kike kuacha kuvaa nguo za nusu uchi kwani ni kinyume na mila na tamaduni za kitanzania . Wolper...
View ArticleMillen Magese akiwa katika pozi la NUSU UCHI.
Anajiita, MODEL, au MISS TANZANIA.Ni binti wa kibongo maarufu kwa jina la Millen Magese akiwa katika pozi la KICHUPI style lililoanzishwa na WAKOLONI maarufu kwa jina la wazungu...
View ArticleNapenda PESA zake tu ila sitaki NIMVULIE nguo zangu na sitaki KUNGONOKA...
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa. Anatoa huduma zote kwangu kifedha kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote...
View ArticlePikipiki aina ya JINYEE yasababisha kichapo kikali kwa mfanyabiashara
Na Jumanne Nzagamba, Chunya. Nipo kijijini Kanga, wilaya ya Chunya ambapo kwa macho yangu nimemshuhudia mfanyabiashara mmoja akipewa kichapo kikali na vijana watatu wa kisukuma...
View ArticlePicha za UCHI za binti wa kibongo zavuja
Jinamizi la picha za utupu limeendelea kuwatafuta akina dada ambapo leo hii mpekuzi wetu amefanikiwa kuzinasa picha mbaya za binti mmoja wa kibongo anayesadikiwa kuwa ni...
View ArticleJoseph Kaniki anaswa na madawa ya kulevya Ethiopia....
Mshambuliaji wa nyota wa zamani wa timu ya soka ya Simba na Taifa, Joseph Kaniki ‘Golota’ na bondia Mkwanda Matumla wanashikiliwa huku Addis Ababa, Ethiopia wakituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya....
View ArticleSheikh Koba atiwa mbaroni kwa tuhuma za KUMBAKA mwanafunzi wa darasa la pili
KIONGOZI wa msikiti wa Masjid Maftah ulioko Misufini katika manispaa ya Morogoro, Alhaj Abdul Wazir, maarufu kama Sheikh Koba, anashikiliwa kwa mahojiano mkoani hapa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye...
View ArticleZanzibar yaapa kuishitaki meli iliyokamatwa na tani 30 za bangi Italia.
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema itafungua mashtaka dhidi ya kampuni ya Gold Star, baada ya meli yake kukamatwa na tani 30 Za mihadarati aina ya bangi Kisiwa cha Malta Vessel, nchini...
View ArticleNdugai ataja sababu zake zilizomfanya amtimue Freeman Mbowe Bungeni
NAIBU Spika, Job Ndugai ametetea uamuzi wake wa kuagiza kutolewa ndani ya ukumbi wa Bunge, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akisema alikuwa sahihi. Mabishano hayo ambayo...
View ArticleWaasi wa M23 wakubali kuweka silaha chini kwa masharti kadhaa
Wakati vikosi vya Umoja wa Mataifa vikisitisha kwa muda operesheni ya kukabiliana na Kundi la M23 Mashariki kwa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, ili kupisha mazungumzo ya amani, kundi hilo limesema liko...
View ArticleVIDEO: Binti aangukia mshumaa na kuungua nyeti zake wakati akikata mauno
Hii ni video fupi ya binti aliyeungua nyeti zake baada ya kuangukia mshumaa wakati akikata mauno.... Sakata hilo lilimkuta wakati akiwa ametundika KICHWA chini, MIGUU juu ( POPO...
View ArticleJalada la kesi ya mbuge SUGU wa Mbeya mjini latua kwa DPP
JALADA la Kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), limefikishwa katika Ofisi ya Mwanasheria wa Serikali. Mbilinyi maarufu kwa jina la ‘Sugu’, anadaiwa kumjeruhi askari wa...
View Article